Hiyo corridor anayokatiza ni International Pavillion underground block ya Apollo Health city hyderabad...
Yaani hapo ni madorari tu ya walipa kodi yanaunguzwa halafu umwambie aende Amana au muhimbili,, hiyo patient gown aliyovaa tu inamlinda as apollo ukionekana na hiyo gown tu manesi na ma Dr wanakuchangamkia mbaya as international patient mnaleta hela nyingi kwa hospital,,