Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,081
- 2,606
Hakuna mtopolo aliyestahili kuwepo kwenye kipengele chochote.
Utopolo wako tayari kwenda CAS kama wasipofanyiwa balance!! Japo uwezo hawana!!! Caf wana pointi 1, mwaka huu wameongeza pointi sifuri huko Caf!! Wameangukia pua mapema asubuhi hukk nigeria!! Lakini ukiwagusa wanakuambia wamemfunga simba japo nj kwenye kombe la mbuzi!! Wakimfunga simba wanaona kwenye soka wamefika hadi mbinguni kwa hiyo hakuna mafanikio mengine zaidj ya kumfunga simba!! Timu yenye mawazo ya hivyo unatagemea nini?Tuzo zimekosa mvuto kwa sababu ya kubalance usimba na yanga
Uzuri wa mchezaji unabebwa na data!! Tupe data zake!!Feisal ni moja kati ya wachezaji bora zaidi
Wachambuzi wa soka bongo ni kichefuchefu! Hasa huyo binti Leah!!soka la ulaya unapata stress kwa kufungwa tu
soka la bongo sasa stress zinatoka÷
kwenye shirikisho
kwenye matokeo
viwanja
uchawi
rushwa
fitna
na uchambuzi wa mashabiki wasiojua hata wanachoshabikia
yani tafran
Kweli kabisa lakini ukianza kutafuta the best huwezi mchukua yeye, ndio maana huwezi muuza bilioni lakini lui na chama waliuzwa bei hizoFeisal ni moja kati ya wachezaji bora zaidi
SahihiKweli kabisa lakini ukianza kutafuta the best huwezi mchukua yeye, ndio maana huwezi muuza bilioni lakini lui na chama waliuzwa bei hizo
Hao wa kwako waanzishie mchuano wao na uwape zawadi wewe.SALAAM WAKUU.
Kila nikitazama orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali msimu huu napigwa na butwaa.
Naona hawa TFF wamewaweka baadhi ya wachezaji ili kusawazisha ule Usimba na uyanga ila sio kwa kutazama msaada walioutoa kwa timu zao katika msimu uliopita.
Nashangaa kumuona Feisal Salum katika orodha ya wanaowania uchezaji bora halafu simuoni Idy Nado na Luis hivi ni kitu gani alichofanya Feisal kuwazidi wawili hao.
Yan Fei mwenye magoli 5 na pasi za magoli 4 niwakuwepo kwenye kinyang'anyiro mbele ya nado mwenye magoli 11 na pasi za mabao 9 au mbele ya Luis mwenye mabao 10 na pasi za mabao 9?
au Dickson Job alifanya kitu gani kumzid Abdulmajid Mangalo?
TFF MSIFANYE MAMBO KWA AJILI YA KUWARIDHISHA UTOPOLO KWA KUWA WANACHONGA NGENGA SANA MTAHARIBU FANYENI VITU KULINGANA NA UHALISIA ULIVYO LA SIVYO KWA HUU UJINGA WENU WA KUTAKA KUBALANSI USIMBA NA UUTOPOLO HATUTAENDELEA KAMWE.
Eti wanabalans ili wachezaji wa utopolo waonekane nao wamo na kuwafurahisha mazezeta ya JI ESI EMU.Beki bora Dikson Job anafanya nini pale ?
una puyanga Dickinson Job kwako sio beki mzuri? Wewe ni coach una nafasi moja kati ya Feisal na Nado uta muacha Feisal umchukue Nado?SALAAM WAKUU.