wananchi wa wilaya ya biharamulo maarufu kama bia na mulo, iliyoko kagera jimbo la mh Mbasa, tunapenda sana kuwaona majembe wa m4c kutoka chama makini sana CDM wakifika kufanya mkutano na wanachama wake ili kuimarisha chama, Tumechoka na utawala dharimu wa chama cha magamba. plz warm welcom