Put your shit together....and come straight.
If you get can't defend what you standing for, you loosing the debate .....
Uko sahihi nilitaka kuandika Can't kwenye red hapo juu,hivyo basi unaweza toa red na kuweka blue "get".
Ok nikiwa na maana kuwa katika forum ukitaka kutetea kitu ni vema ukawa umejizatiti na data za kutetea unacho simamia ama sivyo unashindwa katika mjadala.
Nyongeza Watanzania wengi hawapendi kuona migogoro na hawana matatizo na jirani zao nadhani kama wewe umeishi au unaishi Tanzania utakuwa shahidi kitika hili if you not going to politicize this.Ni vema FDLR wakasikilizwa na hata kama mtu kutubu au kutotubu haitatokea bila kukaakwenye meza ya majariliano pamoja kitu ushauri ambao ulimfanya Kagame aongee maneno ya ovyo kwa kiongizi mwezake wa taifa jirani TZ.FDLR ni wa Rwand si watu wa nchi nyingine kusema you cant negotiate with terrors,na kama ni terror washikeni wafikisheni kwenye mikono ya sheria...ila majadiliano kwanza