Jeshi la kongo wanazidiwa hata na mgambo wa jiji dar ndio wamuondoe ok🤣😀🤣📌Hii CHASE GAME,itaondoka na KP!!!
Usisahau vita ya Kagera lengo lilikuwa kumfurusha nduli kwenye eneo aliloteka na kujimilikisha eti ni la Uganda. Lakini mtifuano ulikwenda hadi mpakani na Sudan kusini.Mwanzo madai ya M23 yalikuwa kwamba jamii ya banyamulenge iliyokuwa ikiishi boma Kwa wingi ilikuwa inaonewa hivo wakaunda kundi Kwa ajili ya kujilinda , ila sasa wanaitaka Congo yote Kwa ujumla Hawa M23 Wana ajenda Yao nyuma ya pazia iweje wasisalie Goma kwanini wanaitaka Congo yote je wao ndo wanazani watakuwa watawala wazuri wa Congo?
Mkuu nakuamini Sana kwenye habari kwa kina 😀12 February 2025
Bukavu, Sud Kivu
GAVANA AOMBA MAHARAGE, UNGA NA DAGAA KWA AJILI YA JESHI LA SERIKALI YA KONGO
View: https://m.youtube.com/watch?v=dHysQuXyOoIGavana mheshimiwa Jean-Jacques Parusi wa Jimbo la Kivu Kusini alipokuwa anaomba raia wawapatie msaada wa unga wa sembe, maharage na dagaa askari wa jeshi la Serikali ya Kongo FARDC ili waweze kupambana na M23
Kwa sasa anaongelea BujumburaTOKA MAKTABA :
12 February 2025
Bukavu, Sud Kivu
GAVANA AOMBA RAIA : MAHARAGE, UNGA NA DAGAA KWA AJILI YA JESHI LA SERIKALI YA KONGO FARDC
View: https://m.youtube.com/watch?v=dHysQuXyOoIGavana mheshimiwa Jean-Jacques Parusi wa Jimbo la Kivu Kusini alipokuwa anaomba raia wawapatie msaada wa unga wa sembe, maharage na dagaa askari wa jeshi la Serikali ya Kongo FARDC ili waweze kupambana na M23
Jeshi la serikali ya Congo FARDC wanajeshi wake wanakosa mishahara kwa miezi kibao, vifaa chakavu kama sare na buti za vita, njaa na pia viongozi waliopo makao makuu ya nchi kule Kinshasa kutowapatia rasilimali hizo muhimu ili askari kuwa na morali ya kuipambania serikali ya rais Felix Tshisekedi
Matokeo yake askari wa FARDC wamegeuka kuwa panya rodi na vibaka kwa kuwapora raia ili wajikimu wao na familia zao. Hii imejenga chuki na kutoamimiwa na raia kwa askari wa serikali kukosa nidhamu, hivyo popote FARDC ilipo wananchi wanaishi kwa hofu.
Kwa hali ilivyo ingekuwa bora kwa sasa M23 wasiitwe tena Waasi wa M23 bali waitwe Jeshi la Ukombozi la M23 au ikipendeza waitwe Jeshi la Kimapinduzi la M23.Uganda, Tanzania, Kenya, Malawi, Rwanda, South Africa, Somalia wote walisisitiza mazungumzo ya maridhiano mezani lakini watawala wa Bujumbura Burundi na Kinshasa DR Congo wao hawakutaka mapendekezo ya nchi hizo 8 wakiamini watashinda kwa risasi na mabomu.
Sasa nchi hizo 8 wameamua wawe watazamaji kuona kama Bujumbura na Kinshasa wataweza kushinda katika uwanja wa mapambano walioutaka.
M23 ni sehemu ya muungano wa makundi ya waasi wa Kongo Congo River Alliance kwahiyo wanasaidiana.Mwanzo madai ya M23 yalikuwa kwamba jamii ya banyamulenge iliyokuwa ikiishi boma Kwa wingi ilikuwa inaonewa hivo wakaunda kundi Kwa ajili ya kujilinda , ila sasa wanaitaka Congo yote Kwa ujumla Hawa M23 Wana ajenda Yao nyuma ya pazia iweje wasisalie Goma kwanini wanaitaka Congo yote je wao ndo wanazani watakuwa watawala wazuri wa Congo?
Tumeambiwa walitimua vumbi hata wakasahau buti zao pale uwanja wa ndege kutokana na kisago walichopelekewa na M23Jamani, kuna kitu bado hamjaelewa. UN iliposema M23 inazidi jeshi lake uwezo, na kumbuka ndo anajifanya asikali Polisi wa dunia hii, huoni nyuma yake kuna jambo? Kama serikali ilishanyanganywa ardhi yake, hao hao wa UN wakaendelea kuoperate hapo hapo, jiulize ni kwa makubaliano na nani. Hii vita ina unafiki mkubwa sana. Jiulize warundi Elfu 10 waliopelekwa kuhakikisha uwanja wa ndege huo hauanguki, vita hivyo vya kitoto?
Askari ambaye hajala chakula siku mbili hapewi chakula lakini anapewa risasi na mabomu anaweza hata akawauzia waasi risasi na mabomu ili apate chakula.Gavana mheshimiwa Jean-Jacques Parusi wa Jimbo la Kivu Kusini alipokuwa anaomba raia wawapatie msaada wa unga wa sembe, maharage na dagaa askari wa jeshi la Serikali ya Kongo FARDC ili waweze kupambana na M23
Mbona wanaitwa waasi ilhali wanao huo umoja wao? Kwa nini wasiitwe Wapiganaji wa Vuguvugu la kuikomboa Congo DRC kwani majeshi ya Congo DRC yameshatepeta mazima.M23 ni sehemu ya muungano wa makundi ya waasi wa Kongo Congo River Alliance kwahiyo wanasaidiana.
Afrika inasikitisha sana kwahili la kongo lazima tuonekane wa ajabu sana, anayekufanyia ubaya ndiyo unamuamini hawa watu siyo wazuri kwetu. Leo kwa mwenzio kesho kwako
Wengi wao walikuwa ni Wanajeshi wa Kongo kabla ya kuasi ndio maana wanaitwa Waasi.Mbona wanaitwa waasi ilhali wanao huo umoja wao? Kwa nini wasiitwe Wapiganaji wa Vuguvugu la kuikomboa Congo DRC kwani majeshi ya Congo DRC yameshatepeta mazima.
Muda umekwisha, Tishekedi imebakia siku za kukimbia DRCWengi wao walikuwa ni Wanajeshi wa Kongo kabla ya kuasi ndio maana wanaitwa Waasi.
Tishekedi aache kiburi akae nao chini wayajenge vita iishe asisubiri mpaka wafike Uvira Kalemie Moba wakifika huko wanaweza kuongeza masharti.
Duh! M23 wameigundua dosari hiyo na wamewabana kwenye udhaifu huo na kweli wamenyong'onyea - wameishiwa kabisa morali hadi nguvu iliyobakia kwao ni ya kukimbia ili kujiokoa na sio kupambana tena.Askari ambaye hajala chakula siku mbili hapewi chakula lakini anapewa risasi na mabomu anaweza hata akawauzia waasi risasi na mabomu ili apate chakula.
Hakuna adui mbaya kama njaa.
Hapa ndo wanakuja kuyaacha na kukimbia na familia zao. Walianza kama waasi,wanapigiwa mwano, leo hii wanasubiliwa kwa hamu na kukaribishwa kwa shangwe. Si raia wanajua M23 haina shida na raia!!! Ikiendelea hivo mbona mzee big atakoma. We jiulize watu wanaitwa kuendelea na kazi, kwa mikataba yao ile ile,mishahara yao,ile ile, nani atageuka!Viongozi wakubwa wa nchi ni walafi, wanatumia kodi za wananchi kujinunulia magari ya kifahari, rushwa, ufisadi huku umma mkubwa wakiishi katika umasikini wa kutisha na wanaona maisha ya viongozi wao wa kiserikali yalivyo ya kifahari.
hv Panya road wameisha hapa Tz ?Jeshi la kongo wanazidiwa hata na mgambo wa jiji dar ndio wamuondoe ok🤣😀🤣
M23 inawambia nyie ni raia wenzetu, tatizo ni uongozi wala msijali. Wanapokelewa, bila kujali wameua wenzao, wanapewa chakula,wanalala,mishahara yao bado iko pale pale watalipwa, unadhani nani afurukute!Duh! M23 wameigundua dosari hiyo na wamewabana kwenye udhaifu huo na kweli wamenyong'onyea - wameishiwa kabisa morali hadi nguvu iliyobakia kwao ni ya kukimbia ili kujiokoa na sio kupambana tena.