Dah kwel kabisa mkuu enx kwa msaada wako enx kwa time ako mekuelewa mkuu...na je vip kuusu kuuza nguo za dukani then flame nnayo alinipa mzee Wang ikiwa mbov then kairekebisha vzr tu so haina shid then nko mbea Kyela border ....then nko IFM 2yr mewaza pia nguo cuz zinaesabika kwa urais il nimuweke mtu faida tutalipana then nkimaliza chuo naenda kukaa mwenyewe apo VP mkuu
Sent using
Jamii Forums mobile app