Lutengano high school special thread

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,694
Waungwana kwa waliosoma lute tukutane hapa tukumbushane mambo ya kipwela,kala,ngopyolo ushirika na tukuyu kwa ujumla,leo nimeikumbuka ghafla shule yangu iliyonitoa ujinga enzi za kina V.Minga,mama Mahembe,Mwafulilwa,Mbuluko,Nzalalila,Malambugi,Kyejo,Kalinga,na wengineo wengi,uliyesoma hapa na wewe unakumbuka nini kuhusu shule yetu LUTE CAMP?
 
Nilishiriki kujenga Hall la chakula na mikutano pamoja na graduation.but nilisoma kwa two weeks tu before joining Government secondary school wakati wa Headmaster Minga.
 
Hahaha toroka pale pita mibula ibukia ndubi then ushirika ule kitimoto....View attachment 564124
Hapo mz. Mwajilala utamuelewa na gari yake
ha haha haaa,huu mlolo shida ulishatupeleka kiwanda cha majani ya chai CHIVANJE,njia kama unaenda KYELA km kama 5 hivi kutoka ushirika,kuna mashamba mengi ya chai,na enzi za umiseta TKY town pale limetubeba sana,huku tukipiga free style ya nyimbo ya DMX ilikuwa inaitwa RUFF RYDER ANTHEM,kitambo sana aisee...
 
ahhhahaa sijasoma LUTENGANO ila tuliwah kwenda matema beach uwii tukakutana na wavukana wa lutengano hahaha wakiorofi mbayaaa humo kwemye maji ilikua selfie tu za kukamatia viuno !dadek zenu ..mie kitu Pandahill
 
ahhhahaa sijasoma LUTENGANO ila tuliwah kwenda matema beach uwii tukakutana na wavukana wa lutengano hahaha wakiorofi mbayaaa humo kwemye maji ilikua selfie tu za kukamatia viuno !dadek zenu ..mie kitu Pandahill
Umesoma wapi?
 
Mama mahembe, j.j., zingu R. I. P, Mzee kyejo, Mwailunga a.k.a morinyo.
Mwafulirwa mzee wa totaly bad
 
Dah! Naikumbuka kisondela kilabuni nmekula sana maparachichi ,soseji na ulanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…