labda alifanya damage control or else tungepigwa nyingiTatizo ni kikosi alichopanga, kilikuwa cha kujihami zaidi.
last time i checked haikuwepo,labda kama imejengwa hivi karibuniMkuu una uhakika Tz hamna soka academy!?
KabisaLusinde hajawahi kuwa na akili.....
Magamba walikuwa wamejipanda haswa kujitwalia utukufu endapo Stars ingeshinda mechi ya jana lakini Mungu alighairi. Maana hizo sifa ambazo angeimbiwa mh. ingekuwa kero na wapinzani wangetukanwa matusi ya nguoni kwa kukwamisha maendeleo ya soka nchi hii tangu uhuru!Hata ukiwauliza viongozi wa nchi hii kama tatizo ni nini hatufanikiwi kisoka naamini hawana hata majibu
Check check vizuri, zipo ila changamoto ni nyingilast time i checked haikuwepo,labda kama imejengwa hivi karibuni
Mnachanganya mpira na siasa!!....mmeipeleka timu ikulu na kuharibu sociology ya wachezaji kwa vitisho na amri,mpira haupo hivyo pelekeni jeshi likacheze na Uganda basi kama mpira ni amri!Mbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.
Lusinde ametoa kauli hiyo kufuatia Taifa Stars kulala bao 1-0 dhidi ya Lesotho mjini Maseru na kujiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu Afcon 2019 kule nchini Cameroo.
"Hii serikali ina mawaziri wanaotumbuliwa wakikosea kidogo tu,sasa huyu kocha anazoa wachezaji na kuwapanga anavyotaka yeye halafu tumwache.Namwomba Waziri Mwakyembe awaandikie TFF akiwa huko ili wavunje mkataba haraka" amedai Lusinde.
Lusinde alidai pia sifa ya Amunike ni nidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa jeshini lakini sio suala LA soka kwani limeshamshinda.
Lusinde pia amedai Amunike amekuwa na upendeleo katika upangaji wa kikosi na badala yake anapanga watu kwa kuangalia matakwa ya wapenzi na sio kitàalamu.
Kwa mara ya Kwanza nampa heko LusindeMbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.
Lusinde ametoa kauli hiyo kufuatia Taifa Stars kulala bao 1-0 dhidi ya Lesotho mjini Maseru na kujiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu Afcon 2019 kule nchini Cameroo.
"Hii serikali ina mawaziri wanaotumbuliwa wakikosea kidogo tu,sasa huyu kocha anazoa wachezaji na kuwapanga anavyotaka yeye halafu tumwache.Namwomba Waziri Mwakyembe awaandikie TFF akiwa huko ili wavunje mkataba haraka" amedai Lusinde.
Lusinde alidai pia sifa ya Amunike ni nidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa jeshini lakini sio suala LA soka kwani limeshamshinda.
Lusinde pia amedai Amunike amekuwa na upendeleo katika upangaji wa kikosi na badala yake anapanga watu kwa kuangalia matakwa ya wapenzi na sio kitàalamu.
HashanahKeshatapeli milioni hamsinioo oga.
Hata hivyo bado nafasi tunayolabda alifanya damage control or else tungepigwa nyingi
HahahahaMagamba walikuwa wamejipanda haswa kujitwalia utukufu endapo Stars ingeshinda mechi ya jana lakini Mungu alighairi. Maana hizo sifa ambazo angeimbiwa mh. ingekuwa kero na wapinzani wangetukanwa matusi ya nguoni kwa kukwamisha maendeleo ya soka nchi hii tangu uhuru!
NAONA CCM MNATAKA KUIFANYA NCHI HII KUWA INAONGOZWA KIJESHInidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa jeshini
Amunike ndie alikuwa ana cheza?? Wachezaji wanatakiwa wachapwe bakoraMbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.