WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Lusinde hajawahi kuwa na akili.....Mbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.Lusinde ametoa kauli hiyo kufuatia Taifa Stars kulala bao 1-0 dhidi ya Lesotho mjini Maseru na kujiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu Afcon 2019 nchini Cameroon.
"Hii serikali INA mawaziri wanaotumbuliwa wakikosea tu kidogo,sasa huyu kocha anazoa wachezaji na kuwapanga anavyotaka yeye halafu tumwache.Namwomba Waziri Mwakyembe awaandikie TFF akiwa huko ili wavunje nae mkataba haraka" amedai Lusinde.
Lusinde alidai pia sifa ya Amunike in nidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa hata jeshini lakini sio suala la soka ambalo amedai limemshinda.
Lusinde pia amedai kuwa Amunike amekuwa na upendeleo katika upangaji wa kikosi na badala yake anapanga watu kwa kuangalia matakwa ya wapenzi na sio kitaalamu
Sasa alitaka apange wachezaji kama anavyotaka nani?Mbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.Lusinde ametoa kauli hiyo kufuatia Taifa Stars kulala bao 1-0 dhidi ya Lesotho mjini Maseru na kujiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu Afcon 2019 kule nchini Cameroo. "Hii serikali ina mawaziri wanaotumbuliwa wakikosea kidogo tu,sasa huyu kocha anazoa wachezaji na kuwapanga anavyotaka yeye halafu tumwache.Namwomba Waziri Mwakyembe awaandikie TFF akiwa huko ili wavunje mkataba haraka" amedai Lusinde.
Lusinde alidai pia sifa ya Amunike ni nidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa jeshini lakini sio suala LA soka kwani limeshamshinda
Lusinde pia amedai Amunike amekuwa na upendeleo katika upangaji wa kikosi na badala yake anapanga watu kwa kuangalia matakwa ya wapenzi na sio kitàalamu.
Amesema anapanga wachezaji kama anavyotaka yeye, huyo lusinde alitaka kocha apange wachezaji kama anavyotaka nani?Kwa mara ya kwanza Lusinde katoa point!! Hongera Mh. Mbunge kuwa mkweli walau kwenye hili.
.hatuna soccer academy hata moja halafu unategemea miujiza kwenye soka
hivi tuna mpira gani hadi tuwafunge lesotho kwao!!!
acheni bange
Hao Wanasiasa ndo wanaharibu michezo. Tujiliuze Amunike ana muda gani tangu akabidhiwe hiyo timu, je Serikali ilikuwa imewekeza kiasi gani kabla hajakabidhiwa; matokeo ya mpira uwanja ni mikakati ya muda mrefu sio propaganda. Wabunge akiwemo huyo Kibajaji ndio wanaua mpira nchini Tanzania kwa kujilipa mishahara na viinua mgongo minono ilhali wachazaji na watumishi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakibaki wanapiga miayo; anategemeaji usimamizi mzuri wa michezo ilhali wachezaji na watumishi wana njaa.Mbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.Lusinde ametoa kauli hiyo kufuatia Taifa Stars kulala bao 1-0 dhidi ya Lesotho mjini Maseru na kujiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu Afcon 2019 kule nchini Cameroo. "Hii serikali ina mawaziri wanaotumbuliwa wakikosea kidogo tu,sasa huyu kocha anazoa wachezaji na kuwapanga anavyotaka yeye halafu tumwache.Namwomba Waziri Mwakyembe awaandikie TFF akiwa huko ili wavunje mkataba haraka" amedai Lusinde.
Lusinde alidai pia sifa ya Amunike ni nidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa jeshini lakini sio suala LA soka kwani limeshamshinda
Lusinde pia amedai Amunike amekuwa na upendeleo katika upangaji wa kikosi na badala yake anapanga watu kwa kuangalia matakwa ya wapenzi na sio kitàalamu.
Duniani kote ndiyo ilivyo ndo maana makocha wanatimuliwa kila sikuHapa ndio utazijua Akili za Wabongo!
Wakishinda mwalimu anafaa wakifungwa Mara moja tu mwalimu aondoke!
Yale Yale enzi za Maximo
kama na wao hawana na sisi hatuna kwa nini unadhani unaweza kuwafunga kwao pamoja na kuwa na advantage ya kushangiliwa sana?.
Hao Lesotho wana Academy?
Uganda, Burundi Kenya wana Academy?
Ulitaka afukuzwe mechi ya cape verde wakati tulishinda?Lusinde ana utalaam gani ktk soka?..huko jimboni kwake kuna timu gani ya soka aliyoiongoza ikawa hata bingwa wa mkoa?
Wakati tunamfunga cape verde hapa taifa mbona hawakusema kocha afukuzwe
Tatizo ni kikosi alichopanga, kilikuwa cha kujihami zaidi.kama na wao hawana na sisi hatuna kwa nini unadhani unaweza kuwafunga kwao pamoja na kuwa na advantage ya kushangiliwa sana?
Mkuu una uhakika Tz hamna soka academy!?hatuna soccer academy hata moja halafu unategemea miujiza kwenye soka
hivi tuna mpira gani hadi tuwafunge lesotho kwao!!!
acheni bange