Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,142 Reaction score 2,501 Jun 16, 2017 #1 Salama wakuu, kwa wanaozijua hizi simu tatu Lumia (window phone) 950XL, Samsung galxy j7 prime na iphone 6s, je ipi ni nzuri zaidi.....
Salama wakuu, kwa wanaozijua hizi simu tatu Lumia (window phone) 950XL, Samsung galxy j7 prime na iphone 6s, je ipi ni nzuri zaidi.....
Pangah2011 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 260 Reaction score 218 Jun 16, 2017 #2 Hiyo Samsung galxy j7 umeiweka kimakosa au? mbona kama haina uwiano kabisa na hizo simu, hukuwa unamaanisha Samsung galxy s7 kweli?
Hiyo Samsung galxy j7 umeiweka kimakosa au? mbona kama haina uwiano kabisa na hizo simu, hukuwa unamaanisha Samsung galxy s7 kweli?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Jun 16, 2017 #3 Nasubiri na mimi kujua hilo
Ombudsman JF-Expert Member Joined Apr 18, 2012 Posts 3,565 Reaction score 3,737 Jun 16, 2017 #4 Unalinganisha iphone 6s na hizo simu nyingine?
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,269 Reaction score 45,851 Jun 16, 2017 #5 kwa upande wa simu yenye camera nenda na Lumia 950xl na kama wewe ni mtu wa misifa chukua iPhone 6,kuhusu hiyo samsung achana nayo nenda youtube kaangalie comparison ya 950xl vs iphone 6 alafu utatuambia
kwa upande wa simu yenye camera nenda na Lumia 950xl na kama wewe ni mtu wa misifa chukua iPhone 6,kuhusu hiyo samsung achana nayo nenda youtube kaangalie comparison ya 950xl vs iphone 6 alafu utatuambia
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Jul 7, 2017 #6 Mkuu ,samsung j7 prime ndio simu nayotumia,hila nimesikitika kuipambanisha na iphone 6plus,labda kwahiyo lumia...
Mkuu ,samsung j7 prime ndio simu nayotumia,hila nimesikitika kuipambanisha na iphone 6plus,labda kwahiyo lumia...
Zugak17 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2014 Posts 1,171 Reaction score 383 Jul 7, 2017 #7 Mpatieni jibu moja tu.
Y YYOLOKA MBONDE Member Joined May 21, 2017 Posts 16 Reaction score 6 Jul 7, 2017 #8 LUMIA NDIYO KILA KITU
K Kabasere wa Kabasere Senior Member Joined Jan 22, 2017 Posts 115 Reaction score 67 Jul 11, 2017 #9 YYOLOKA MBONDE said: LUMIA NDIYO KILA KITU Click to expand... LUMIA IKO VZURI
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,622 Reaction score 5,251 Jul 12, 2017 #10 Nimewahi imiliki hiyo Microsoft ni shida sana sema njaa mbaya niliuza laki sits tu