gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Duuu!ni ME huyo ila anaweza kukupa huduma unayotaka.
Mwanaume hawezi kushinda kwenye kioo, labda mvulanahope so...
inaweza kuwa inachangia vijana wa siku hizi kushinda kwenye vioo kutwa
π π πMwanaume hawezi kushinda kwenye kioo, labda mvulana
Mmh kazi ipo! Mkuu unaweza ning'ata sikio PM ukanambia jinsia yako halisi?Uzi upi tena jaman [emoji1787], pole