Lugha ya interview Utumishi ni ipi?

yungsteval

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
309
Reaction score
109
Habari ndugu nahitaji msaada kwa wale waliowahi fanya usail utumishi, hivi lugha inayotumika kwenye usaili ni ipi english au swahili? in both written and oral interview.

Maana nimeitwa kwenye usaili katika post ya afisa ustawi wa jamii/ social walfare officer.
 
Hapo ni english,ila unakaribishwa kwa kiswahili.Komaa general skills na darasani ndugu
 
interview zao huwa rahisi sana mkuu ,lugha ni english,jipange tu mkuu.sijawahi ona interview rahisi km za utumishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…