Lucy Komba ajifungua

Wanamegwa na wazungu
Wanamegwa na vibabu
Uso mkavu hawana aibu

Bado nipo nipo kwanza
 
Tayar binamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Siku hizi shost umeokoka nini, umeacha kabisa kuchamba au msukuma kakunyang'anya simu shoga[emoji1787][emoji1787]
Natamaniki kukutokea inbobo ila unatutisha bana na profile......tuwekee hata mguu tu basi
 
Tayar binamu 🀣🀣🀣, Siku hizi shost umeokoka nini, umeacha kabisa kuchamba au msukuma kakunyang'anya simu shoga🀣🀣

Bina nimeokokaa mimiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wapiiiii
Unakumbuka matola bina ulikuwa unakula ban kila siku
 
Nakumbuka tulicheka mwezii aisee comment zako zilivunja mbavu watu halaf na simu yake nyeupe kashikilia mkononii samsung hivi ilipona ilikufa?
Halaf bina nakuja pm
Hahahhahaha bina naukumbuka huo Uzi. Jamani tulicheka siku hiyo mweeh. Mungu azidi kuwatunzia ndoa yao na watoto wao...
 
Hahahhahaha bina naukumbuka huo Uzi. Jamani tulicheka siku hiyo mweeh. Mungu azidi kuwatunzia ndoa yao na watoto wao...

Jamani bina siku hizi hata hatucheki sana sijui maisha yanazidi kukazaa 😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…