James7 Senior Member Joined Nov 2, 2010 Posts 120 Reaction score 82 Sep 6, 2015 #1 Mgombea urais kutoka CHADEMA anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mheshimiwa Edward N. Lowassa alilakiwa na MAELFU ya wananchi hapa Manispaa ya Tabora jana. Hii ni dalili la anguko kuu la CCM katika moja ya ngome zake kongwe nchini.
Mgombea urais kutoka CHADEMA anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mheshimiwa Edward N. Lowassa alilakiwa na MAELFU ya wananchi hapa Manispaa ya Tabora jana. Hii ni dalili la anguko kuu la CCM katika moja ya ngome zake kongwe nchini.
stunnaman Member Joined Jul 30, 2015 Posts 77 Reaction score 29 Sep 6, 2015 #2 Ashukuruwe mungu. Lowassa mziki mkubwa
MUSIGAJI JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 2,261 Reaction score 2,741 Sep 6, 2015 #3 Mimi nasubiri kuona leo Nzega kwa bashe hari itakuwaje?
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,556 Reaction score 4,162 Sep 6, 2015 #4 Ngome ya ccm ipo TABORA kama imevunjwa...... Baaaas hakuna kila kitu....
Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 2,659 Reaction score 1,430 Sep 6, 2015 #5 CCM Hawatoki Ng'o
Sky net Member Joined Aug 24, 2015 Posts 77 Reaction score 12 Sep 6, 2015 #6 Bashe ana wakati mgumu sana.ni kijana wa Lowasa then yuko upande wa pili.hapo mziki
K kuchele.com Senior Member Joined Aug 10, 2015 Posts 109 Reaction score 24 Sep 6, 2015 #8 Hatihati kwa bashe kukumbwa na mafuriko
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,354 Sep 6, 2015 #9 Tumeona Na hivi Na hivi
S SLAALU JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 335 Reaction score 64 Sep 6, 2015 #10 Namuomba mungu niuone hatima ya uchaguz wa mwaka huu, KUNA KILA DALILI YA mmoja wao kuomba poo!. TUTAHESHIMIANA TU.
Namuomba mungu niuone hatima ya uchaguz wa mwaka huu, KUNA KILA DALILI YA mmoja wao kuomba poo!. TUTAHESHIMIANA TU.
N nangaramo Member Joined Jul 3, 2015 Posts 65 Reaction score 12 Sep 6, 2015 #11 Hayo ndio mabadiliko tunayotaka , ya kutoa bulb zilizoungua na kuweka mpya. Honorable Tabora, najua ninyi mtafanya kweli 25 October
Hayo ndio mabadiliko tunayotaka , ya kutoa bulb zilizoungua na kuweka mpya. Honorable Tabora, najua ninyi mtafanya kweli 25 October
T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,151 Reaction score 20,065 Sep 6, 2015 #12 Watu wa tabora sio wajinga, wameona upepo unavyoenda wamekua wajanja, hawataki kuja kuaibika.
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 14,300 Reaction score 45,092 Sep 6, 2015 #13 Asante Tabora.
Kamjingijingi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2009 Posts 806 Reaction score 129 Sep 6, 2015 #14 Ccm oyeeee hizo picha za kuchanga kila siku tunaziona ccm mbeleee. mbele
Kamjingijingi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2009 Posts 806 Reaction score 129 Sep 6, 2015 #15 Mpiga mpicha wa ukawa mzuri sana amesomeya vizuri uchaguzi ikimalizika najua utakuja ccm kutaka kazi
H hans79 JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 3,800 Reaction score 431 Sep 6, 2015 #16 Tuko said: Tumeona Na hivi Na hivi Click to expand... Oh safi sana
M mchakaramu New Member Joined Aug 6, 2009 Posts 3 Reaction score 0 Sep 6, 2015 #17 Hiyo ni dalili kuwa wananchi wamechoka na wanahitaji mabadiliko......
LoyalTzCitizen JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 2,297 Reaction score 1,038 Sep 6, 2015 #18 The change we aspire!!