Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,689
- 11,276
Atleast inaleta matumaini.fulani kuwa huenda sasa hivi suala la uchaguzi likawa ni 50-50.Laiti lama watu wanachoongea mitaani ndicho kingekuwa ndicho watakachofanya kwenye boksi la kura mie ningekuwa nomeshahesabia ushindi kwa Lowassa 80% na zaidi.Lakini.kwa vile kura ni siri hili jambo naliweka 50-50Katika kira za pub lazima Lowassa ashinde kwa sababu wananchi wamechoshwa na CCM.
Katika kura halisi, tusubiri matokeo. Ingawa wananchi wanechoshwa na CCM, hilo halina maana wamekubali kumpigia kura Lowassa.
Ma ccm hayataki kusikia kilio cha watz kutaka mabadiriko.
Hakuna namna nyingine
Atleast inaleta matumaini.fulani kuwa huenda sasa hivi suala la uchaguzi likawa ni 50-50.Laiti lama watu wanachoongea mitaani ndicho kingekuwa ndicho watakachofanya kwenye boksi la kura mie ningekuwa nomeshahesabia ushindi kwa Lowassa 80% na zaidi.Lakini.kwa vile kura ni siri hili jambo naliweka 50-50
walitangaza hakutakuwa na mgao wa umeme tena.uongo ni jadi yao hawa jamaa tunahitaji #Mabadiliko
Katika kura za pub lazima Lowassa ashinde kwa sababu wananchi wamechoshwa na CCM.
Katika kura halisi, tusubiri matokeo. Ingawa wananchi wanechoshwa na CCM, hilo halina maana wamekubali kumpigia kura Lowassa.
Wabongo wana tabia ya kupaisha mtu mdomoni kwa mkumbo wakati hata hawajajiandikisha kupiga kura, au kuishia kumpigia kura mtu tofauti.
Tutajua hali halisi baada ya uchaguzi.
Mwaka huu tumejiandikisha 104% na hata mkinunua Kadi na kuhujumu bado tutashinda tu.
Mwaka huu tumejiandikisha 104% na hata mkinunua Kadi na kuhujumu bado tutashinda tu.
Jana umeme ulisumbua kieneo nilipokwepo ghafla watu wakaanza kumuimba Lowassa.Tunataka mabadiliko aiseee