wadau kuna thread nyingi zinadai lowasa ni mchapakazi na alionewa,kwenye sakata la richmond,sasa tangu atoke madarakani kama w mkuu miaka 7,utendaji kazi wake ukoje kama mbunge.ukimlinganisha kafulila ambae anamiaka mi5 kwenye ubunge?
mzee wa kismati eleweka basi.mbona ka bata..LLOWASA KAFANYA NINI? INAMAANA HAONI HATA BEI YA MAFUTA KUWA JUU ASEME,GESI? NAULI? MABEHEWA MACHAKAVU? NK HAONI? MTETEZII HAONI WANAFUNZI WANALALAMIKA KAMPALA CHUO,,,,
Apana, ndo maana kuna kusailiwa kwa chochote ukitakacho au kitakwacho, je atatufaa, kwa vigezo vpi? Katiba ya ccm imekataza rushwa,na si kukataza,imesema hata kuhusishwa na rushwa tuu,huna vigezo.
tuachane na ukiranja shule ya msingi huko kwetu mikoani,ukiwa mbabe,unapewa ukiranja,ukija o level,ukiwa kichwa darasani unapewa uongozi wa darasa. huyu LOWASA ni kichwa? au mbabe?
UKITAKA MKE,, UNACHAGUA,MWENYE TABIA,SURA NA ELIMU, akiwa na tabia nzui,sura mbaya no elimu,anaoleka,sura mbaya tabia mbaya haoleki akiwa na sura nzuri na elimu no anaoleka . sasa huyo ana sura nzuri elimu nzuri,tabia mbaya tena very bad.HAFAI UKIOA UTAKUJA JUTA
ivi mradi wa maji kutoka ziwa victoria kapigania kafulila acheni kufananisha wapiga kelele na wafanyakazi.nashindwa kuelewa upinzani wa tz wao ni kelele na kujisifu alafu kwa nafasi ya mtu kama lowasa hawezi kupiga majungu yeye ni mtendaji vp suala wahindi wa citywater dar alipigania kafulila. Mwanaume ukiwa ukiwa una kiherehere haipendezi,hasafishiki my aaaaassssssssssssssssss acheni woga nyie ukawa oktoba sio mbali mafuriko yanakuja