KITENGE KOFIA
Member
- Oct 14, 2012
- 35
- 24
hapo umepiga kelele.Wakazi wa bangata wamelala masikini wameamka tajiri...mamvi amemwaga mafuso ya mbuzi wa maziwa kwa wakazi wa bangata usa river kwa malipo ya kupigia mgombea wa udiwani ccm,ivi mamvi ukikosa uraisi utaenda wapi.....vp naigeria huendi,prophet tb joshua alijua ulikuwa unataka kumtumia..akakupiga chini
Hivi hizi siasa za kununua wapiga kura zitatufikisha wapi Watanzania? Mungu hatatuondoa katika Laana hii ya Umasikini.
Lowassa ni mwanasiasa wa kiwango cha juu sana. Si rahisi kum-define wala kum-counter attack. Hashindwi jambo.
Huko bangata ni manjeree watupu(waarusha)hawa jamaa ni mabwege sana,ukiwapa nyama na pombe unakua umewamaliza kabisa,kwa ujumla ni wakabila sana nani watu wasio na mtazamo wa mbali.wanuza mashamba na vieanja vyao alafu wanakuja kuomba kazi ya ulinzi kwa waliemuuzia baada ya kula hela zote,washamba sana hao watateseka sana hao.
Naona upo kazini kaka
EL ni mwanasiasa anayejua kutumia kete zake vizuri hasa! Asikudanganye mtu huyu bwana mbegu anazopanda ziko zitakazoota na kuzaa. That's kind of politicians' weapons. Watu wanatumia umaskini wao wenyewe kujinyonga, na maisha yanaendelea kuwa magumu.
Huko bangata ni manjeree watupu(waarusha)hawa jamaa ni mabwege sana,ukiwapa nyama na pombe unakua umewamaliza kabisa,kwa ujumla ni wakabila sana nani watu wasio na mtazamo wa mbali.wanuza mashamba na vieanja vyao alafu wanakuja kuomba kazi ya ulinzi kwa waliemuuzia baada ya kula hela zote,washamba sana hao watateseka sana hao.....
Hyooo sawa sawa na DECIEL ni mwanasiasa anayejua kutumia kete zake vizuri hasa! Asikudanganye mtu huyu bwana mbegu anazopanda ziko zitakazoota na kuzaa. That's kind of politicians' weapons. Watu wanatumia umaskini wao wenyewe kujinyonga, na maisha yanaendelea kuwa magumu.