UK6.... Walimuliza ni kp kilichomkuta mpaka kikamsababishia yeye kutokwa na machozi? Michael hakujibu chochote, bali aliendelea kuwaza. Hofu yao ilikuwa kwamba, endapo watamuacha aendelee kuwaza basi anaweza kuchanganyikiwa na kuwa kichaa. Walimchukua na kumpeleka ndan. Michael aliketi kwenye sofa huku akiendelea kuwaza. Kiukweli marry hakupenda kabisa amkute au amuone michael kuwa ni mwenye mawazo. Mara kwa mara marry alikuwa anajiwaza na kujiuliza maswali haya, hiv ni kwann michael anakuwa ni mwenye kuwaza sana. Na ni kwann tulipomgonga na gari alikuwa ni mwenye uoga na hatimae kujikuta tunamgonga? Hujisemea mwenyewe kuwa hapa lazma patakuwa na tatzo kubwa juu yake linalomkabil. Sasa cha muhimu lazma nitambembeleza mpaka nilijue tatizo lake, alijisemea marry. Sasa imekuwa destur kla wanapoondoka agnes na marry, erasto kumfanyisha kaz michael, na michael anashindwa kuwaambia agnes na marry matatzo yanayomkumba. Kutokana na matatzo kuwa meng kwake, anavzia sku ambayo marry na agnes watakapoondoka.. INAENDELEA