Lovely texts you can send a girl to make her feel special

Jamani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Basi we na Extrovert have it really easy.
 

hahaha nimeipenda hiyo mbinu yako hapo juu mkuu, wanawake ndio hutufanya tuwe na tabia za ajabu alafu baadae wanaanza kulia
 
hahhaah
unakuta upo na mtu unaona kabisa hakupendi ila ukimuuliza hasemi unajikuta tu umejiongeza unampotezea.mi ujue naona mapenzi ya huku kwetu ni ya tofauti sana na hata majirani zetu wakenya hapo
Nadhani hapo pia linaingia swala la kutumiana. Mtu anaona hawezi kukuacha uondoke na maslahi yako so anakushikilia ili aendelee kufaidi vitu vyako.πŸ™‰πŸ™‰
 
Nadhani hapo pia linaingia swala la kutumiana. Mtu anaona hawezi kukuacha uondoke na maslahi yako so anakushikilia ili aendelee kufaidi vitu vyako.

hahahah
bila ya kujua kwamba hata mkibaki marafiki utamsaidia tu.ila kuwa single raha sana yani unajinenepea tu huna mtu wa kukuletea ma picha picha kama hayo
 
hahaha nimeipenda hiyo mbinu yako hapo juu mkuu, wanawake ndio hutufanya tuwe na tabia za ajabu alafu baadae wanaanza kulia
Hahahah kabisa mkuu, yani tabia zote tulizonazo ni zao la wanawake wanavyo behave kwetu..Usanii, ahadi hewa, hongo n.k vyote ni wao wamesababisha.

We hata ukifuatilia mijadala yao utagundua wengi wako interested na hongo tu! Sio pickup lines tena! Imethibitishwa....then endelea na story 😝😝😝
 
Hizo porojo bila hela . Hakika hawa wanawake hawatokuelewa mkuu...
 
Hahahah kabisa mkuu, yani tabia zote tulizonazo ni zao la wanawake wanavyo behave kwetu..Usanii, ahadi hewa, hongo n.k vyote ni wao wamesababisha.

We hata ukifuatilia mijadala yao utagundua wengi wako interested na hongo tu!

hahahha eti hongo.yani vizinga ndio kitu wanawaza, yani unaweza kuwa na ka hela ila usitume kwa sababu unaona kabisa huyu mtu yupo kwa maslahi unaona bora ukanunue ka pepsi ka baridi unywe
 
Kuchoshana huko.
Niambie nakupenda tu inatosha..tena kwa kiswahili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…