Love Yourself

Haaaaa nitakuja mtumia my X...

Justin ana nyimbo nzuri.. napenda kusikiliza.."life is worth living" "purpose" etc...
Utakua unamchokoza tu kama akusumbui[emoji1] ila kama anasumbua ukimtumia ujumbe unakua umefika. Album yake nzuri sana wangepishana na adele kidogo kuachia Album zao ingekua kubwa zaidi ya ilivo.
 
hahahahaha Mkuu unatisha, leo nitaenda uliza aisee sikubali kabisa hii kitu. Mupenzi wangu kila siku baby huenda anamaanisha nina mambo ya kitoto kweli usicheke, labda unifafanulie zaid kama kuna maana nyingine.

teh teh
Mpenzi wako gani tena?

Ah uvumilivu ushanishinda ngoja nikatafute sumu.

Nahisi naibiwa, nachanganyikiwa!
 
teh teh teh, hapo nimefurahi kabisa. so tuseme ananiita jina baby kuniongezea furaha sio?

Asprin wangu uko wapi maana nilitaka baadae nikuulize y unaniita baby aisee, but sasa nimeelewa kabisa.

Asprin kuja kipande hii tafadhali tujifunze
Nakuita baby wangu kwa kuwa napenda kukubembeleza na kukudekeza kama mtoto.

Au hupendi baby ake mimi?
 
Mpenzi wako gani tena?

Ah uvumilivu ushanishinda ngoja nikatafute sumu.

Nahisi naibiwa, nachanganyikiwa!
Ukishakunywa hiyo sumu kabla hujakufa naomba tenda ya chakula na vinywaji siku ya mazishi
 
Nakuita baby wangu kwa kuwa napenda kukubembeleza na kukudekeza kama mtoto.

Au hupendi baby ake mimi?
Napenda mie darling loooh nilitaka niwahakikishie ninavyo enjoy ati
 
Mpenzi wako gani tena?

Ah uvumilivu ushanishinda ngoja nikatafute sumu.

Nahisi naibiwa, nachanganyikiwa!
baby sina mwingine ati, nilikuwa namaanisha wewe that is y nikawa nakuita uje useme ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…