Tmainitvp
Member
- Mar 25, 2019
- 64
- 119
Kwenye wimbo wa Celine Dion
𝐢𝐭'𝐬 𝐚𝐥𝐥 𝐜𝐨𝐦𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐚𝐜𝐤 𝐭𝐨 𝐦𝐞 𝐧𝐨𝐰
Celine anaanza kukumbuka moments walizo share na Ex wake, anakumbuka hisia alizokuwa nazo juu ya mtu wake
Celine tena anakumbuka maumivu aliyo yapata kwenye mahusiano hayo, yalikua ya mateso, na maumivu na machozi tu .
Pia anaimba kwa kusema jinsi gan aliweza ku overcome hayo mateso na kustay strong na kumove on.
Lakini kuna muda, kila akikumbuka jinsi alivyo kua anashikwa, anakumbatiwa na kupewa kiss anashindwa kuvumilia, Utamu wa penzi ni bora kuliko maumivu, 𝐧𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐮𝐦𝐚 𝐢𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐜𝐡𝐢𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐰𝐚.
Mwishon kabsa anamalizia kwa kusema
K𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐮𝐰𝐞𝐳𝐞𝐤𝐚𝐧𝐨 𝐰𝐨𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐚𝐦𝐞𝐡𝐞𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐚𝐡𝐚𝐮, 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐰𝐚𝐫𝐮𝐝𝐢𝐚𝐧𝐞
"If you forgive me all this
If I forgive you all that
We forgive and forget
And it's all coming back to me now"
𝗡𝘆𝗶𝗲𝗲𝗲 𝗹𝗼𝘃𝗲 𝗶𝘀 𝗯𝗲𝗮𝘂𝘁𝗶𝗳𝘂𝗹 𝗧𝗶𝗻𝗴 𝗯𝗮𝗻𝗮
-𝒕𝒗𝒑 𝒅𝒐𝒄𝒖𝒎𝒆𝒏𝒕𝒂𝒓𝒚
𝐢𝐭'𝐬 𝐚𝐥𝐥 𝐜𝐨𝐦𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐚𝐜𝐤 𝐭𝐨 𝐦𝐞 𝐧𝐨𝐰
Celine anaanza kukumbuka moments walizo share na Ex wake, anakumbuka hisia alizokuwa nazo juu ya mtu wake
Celine tena anakumbuka maumivu aliyo yapata kwenye mahusiano hayo, yalikua ya mateso, na maumivu na machozi tu

𝗡𝘆𝗶𝗲𝗲𝗲
-𝒕𝒗𝒑 𝒅𝒐𝒄𝒖𝒎𝒆𝒏𝒕𝒂𝒓𝒚