Habari za Majukumu,
Nahitaji mwanamke alie serious tufahamiane tukiridhiana tabia awe mke.
1. Awe Mkristo na Mcha Mungu
2. Awe muajiriwa au mwenye shughuli zake binafsi
3. Umri 28-30
Sifa zangu
1. Mkristo RC
2. Miaka 32
3. Nimeajiliwa ktk taasisi binafsi
Mengine tutafahamiana zaidi baadae.