M mamie mie Member Joined Aug 28, 2014 Posts 17 Reaction score 0 Nov 12, 2014 #1 Natafuta kazi Nina diploma ya accounting and finance,Nina knowledge ya computer,Nina experience n mambo ya sales.contact 0767948594
Natafuta kazi Nina diploma ya accounting and finance,Nina knowledge ya computer,Nina experience n mambo ya sales.contact 0767948594
mgusi mukulu JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 715 Reaction score 682 Nov 12, 2014 #2 Kuna kazi omba zimetoka halmashauri ya manispaa ya babati za maafisa watendaji wa mitaa na vijiji....maana bado halmashauri nyingi hazijatoa nafasi hizo za kazi. Japo ni mikoani. Uwe unapenda kusoma magazeti ya mwananchi.
Kuna kazi omba zimetoka halmashauri ya manispaa ya babati za maafisa watendaji wa mitaa na vijiji....maana bado halmashauri nyingi hazijatoa nafasi hizo za kazi. Japo ni mikoani. Uwe unapenda kusoma magazeti ya mwananchi.
M mamie mie Member Joined Aug 28, 2014 Posts 17 Reaction score 0 Nov 12, 2014 Thread starter #3 Oky nashukuru ntafanya hvyo soon....
M matan yusuf Member Joined Nov 7, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Nov 15, 2014 #4 Join affiliate marketing for free 350$ per sale link WWW.shopify.com/ref=bomboka