ah Ikulu imegeuka Diamond Jubilee, naona Kkiwete na mkewe wanashindana kumwaga mapati kila kukicha. Mara birthday, mara new year, mara kujipongeza kwa kuiba kura. Tutafika kweli? Fatilieni mambo ya msingi acheni ulimbukeni. Unewaalika basi wanawake wajane hapo ikulu au wamama wenye kansa tungekuona wa maana, hao wake wa mabalozi hapo hawana shida kama waliokupa kura na umewasahau.:Cry: