ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Kwani huu mtandao wa nchi gani mkuu?Hizi njaa. Seven Million ya zimbabwe mkuu.
Mkuu hujakosea ni gari ngumu sana lakini nataka kubadili niagize kubwa. Ni kweli nauza bei rahisi na inaonekana unazijua hizi Hilux. Engine nimeibadili mwaka jana ila nimefunga same engine (2L) sababu ya kwanza ilikua imetumika sana.Labda macho yangu.
Lakini kwa pick up ni bei rahisi wakuu,halafu kama ni lile toleo la roho ya paka basi hapo mtu atatumia mpaka wajukuu.
Maana body ipo vizuri sana.Halafu zina body kubwa kuliko hivi vi carry vyetu,tofauti ni ndogo tu ya ulaji wa mafuta.
Hembu tupe sababu ya kuuza,na imetumika bongo tangu lini.
Na je Engine imewahi kufunguliwa kitu?
Na je ni four wheel au?maana sikumbuki kama kuna four wheel hili toleo
Na hapo kwenye picha naona Driver yuko kwenye kazi,je unauza na driver au?hahaha lugha ya kibiashara umenielewa ila wengine watasema nanunua mtu
Gari inafanya kazi haijalala ndo mana nimemuweka na dereva and NO dereva anabakiLabda macho yangu.
Lakini kwa pick up ni bei rahisi wakuu,halafu kama ni lile toleo la roho ya paka basi hapo mtu atatumia mpaka wajukuu.
Maana body ipo vizuri sana.Halafu zina body kubwa kuliko hivi vi carry vyetu,tofauti ni ndogo tu ya ulaji wa mafuta.
Hembu tupe sababu ya kuuza,na imetumika bongo tangu lini.
Na je Engine imewahi kufunguliwa kitu?
Na je ni four wheel au?maana sikumbuki kama kuna four wheel hili toleo
Na hapo kwenye picha naona Driver yuko kwenye kazi,je unauza na driver au?hahaha lugha ya kibiashara umenielewa ila wengine watasema nanunua mtu
TZS na mazungumzo yapoHizi njaa. Seven Million ya zimbabwe mkuu.
world wide website (www)Kwani huu mtandao wa nchi gani mkuu?
Staff gearStaff gear au
www.jamiiforums.comworld wide website (www)