Aliyeomba, mwenye vigezo vinavyokubalika ndio anaweza kupata.Waliopata na waliokosa hawajajulikana,namanisha HESLB hawajafunguka kwa hiyo usihofu walioapply katika second round pia wanahusika kwenye mchakato kama waliomba, kama hawakuomba ni mpaka baadaye wakishapata chuo kama watakuwa na vigezo vinavyokubalika.