Kuongoza Waingereza ni kazi ngumu sana. Wana matarajio makubwa ambayo hayatekelezeki na bahati mbaya bado wana imani wao ni giant hivyo kuna namna wanatakiwa waishi. Huyu Liz hatokaa sana, na atakayefuatia hatokaa sana vilevile mpaka raia wajifunze uhalisia na kupotezea makosa madogo ya viongozi. Kilichomuondoa Boris Johnson hakina mashiko sana, hata kilichomuondoa Waziri Mkuu wa Italy hakieleweki hasa.
Liz kachaguliwa kwa kampeni aliyopiga na sera ambayo inabidi aikwepe. Tumpe muda