L LUIS EMAZ Member Joined Jan 10, 2014 Posts 39 Reaction score 3 Jan 21, 2014 #1 Mechi ya livpool v Aston vill mwanzo gerrard alicheza namba 6 tukapoea kabisaa.Je anafaa kuwa mbadala wa Lucas?.
Mechi ya livpool v Aston vill mwanzo gerrard alicheza namba 6 tukapoea kabisaa.Je anafaa kuwa mbadala wa Lucas?.
I isaya mwasetuka Senior Member Joined Feb 17, 2013 Posts 101 Reaction score 23 Jan 21, 2014 #2 LUIS EMAZ said: Mechi ya livpool v Aston vill mwanzo gerrard alicheza namba 6 tukapoea kabisaa.Je anafaa kuwa mbadala wa Lucas?. Click to expand... Duh kaka unachoongea n kwel tulipotea lkn miaka yote gerrad huwa n namba 8/10 kama unakumbuka kipnd cha mascherano6,alonso8 na gerrad 10 hafu torres 9 ila mbadala wa leiva n ALEN ndo atacheza 6 kaka au ww unaonaje?
LUIS EMAZ said: Mechi ya livpool v Aston vill mwanzo gerrard alicheza namba 6 tukapoea kabisaa.Je anafaa kuwa mbadala wa Lucas?. Click to expand... Duh kaka unachoongea n kwel tulipotea lkn miaka yote gerrad huwa n namba 8/10 kama unakumbuka kipnd cha mascherano6,alonso8 na gerrad 10 hafu torres 9 ila mbadala wa leiva n ALEN ndo atacheza 6 kaka au ww unaonaje?
The Magnificent JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,694 Reaction score 1,250 Jan 21, 2014 #3 Lucas kaumia na atakuwa nje kwa miezi miwili... So sad!
gateway JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 467 Reaction score 123 Jan 21, 2014 #4 LUIS EMAZ said: Mechi ya livpool v Aston vill mwanzo gerrard alicheza namba 6 tukapoea kabisaa.Je anafaa kuwa mbadala wa Lucas?. Click to expand... naona maiti inataka kumng'ang'ania sheikh sasa
LUIS EMAZ said: Mechi ya livpool v Aston vill mwanzo gerrard alicheza namba 6 tukapoea kabisaa.Je anafaa kuwa mbadala wa Lucas?. Click to expand... naona maiti inataka kumng'ang'ania sheikh sasa
N Nyakwec's Bro JF-Expert Member Joined Apr 27, 2012 Posts 820 Reaction score 174 Jan 24, 2014 #5 Captain fantastic kucheza chini hawezi kabisa alishindwa kabisa na yeye kucheza chini siyo mzuri sana si uliona alivyoingia Lukas ndy sasa mambo yake yakaanza kuonekana zile pass zake ndefu zenye macho kama ile iliyoleta penati.
Captain fantastic kucheza chini hawezi kabisa alishindwa kabisa na yeye kucheza chini siyo mzuri sana si uliona alivyoingia Lukas ndy sasa mambo yake yakaanza kuonekana zile pass zake ndefu zenye macho kama ile iliyoleta penati.