Siyo siri. Endapo Yanga itafungwa Mkuu
grafani11 utakuwa mwenye furaha isiyo kifani na endapo Yanga itashinda utakuwa ni mwenye huzuni mno.
Yanga haina historia ya kupoteza mechi katika uwanja wa nyumbani jindae kusikitika.
Wewe timu yako jana imeshinda, ya nini tena kujitafutia presha, kiharusi na hata kisukari kwa timu dhaifu kama Ndanda FC?