LIST YA WASANII AMBAO HAWAPO KISANII

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,725
habari za wiki end
poleni na uchovu wa gwaride la uhuru day

Naleta mada tushirikiane kuweka list ya mastaa ambao hawapo kistaa ie hawapendezi japo wanavaa, hawana mvuto wa kicelebrity,
list yangu
1. BENPOL
2.NIKKI WA PILI
3.20%
4.SHETTA
5. Gnako
6.jose mtambo

NB.maoni yangu tu
karibu weka list yako
 
Kwahiyo unataka kila msanii
-Apige wave na Superblack Kichwani.
-Avae Supra na Midosho mingine ya mirangi rangi.
-Apake poda na kupiga mikorogo
-Ajichore mitatuu kibao na kuvaa miereni.
-Apige micheni kibao shingoni na mikononi.

Asipofanya Hivyo Huyo sio Msanii kwa mujibu wako?
 
No usipotoshe mada
alikiba hana tatu hata moja mwilini lakini amekataa kisanii.
maana yangu msanii anatakiwa ukimuona tu ujue huyu ni nani.
mtu kama benpol ni kama muimba kwaya huwez jua kaz yake mpaka uulize kama ni mgeni hapa bongo.
Nikki wa pili amekaa kisomi so anapendeza akifanya kaz ofcini
 
Oeni jamani, matangazo ya wasaka ndoa yamekuwa mengi!
 
Huo ni Mtizamo wako mie nikimwona Alikiba siwezi jua kama ni msanii labda ninaweza nikamfananisha na wale jamaa wa The Gods Must be Crazy...Samahani Lakini.
 
Huo ni Mtizamo wako mie nikimwona Alikiba siwezi jua kama ni msanii labda ninaweza nikamfananisha na wale jamaa wa The Gods Must be Crazy...Samahani Lakini.
Teh teh teh kwani hujui kama wale pia ni mastaa? Anyway kila mtu anamtazamo wake na wala cjafanya bias yyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…