huyu mtu aliyeleta huu uzi kama bado yupo hai, tunaomba aje hapa aangalie huu uzi wake aliokuwa ameuandika 2019. tushalipa zaidi ya bilioni 200 ambazo Lisu alitahadharisha.Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Tatizo nyuzi za jf huwa hazifutiki ndo shida ilipoHabari.

Tupo wapiLisu ana kipaji cha upotoshaji na kwa bahati nzuri sana au mbaya amepata sehemu nzuri inayomfaa, kuendesha uongo wake Chadema.
Maccm ni makenge tu! Stupid!Mwalimu wa Civics HAPA ni WAPI? Si ulisema hatutoshitakiwa MIGA hapa ni Wapi? [emoji116][emoji116]
Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM? Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie? --- Winshear...www.jamiiforums.com
Hatujashutakiwa Miga.Tupo wapi
Hahahaha anakusalimia Professor MrumaJe kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni
Salam alaikumKama makinikia haya account chochote kwa nini wanalilia kuyasafirisha?
Mzee wa MIGA😅😅😅Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Daah Lissu anakuw akama nabiiShida serikali haitaki watu wenye akili. Ukiwa na akili wewe ni adui.
Ndio maana walificha mwenendo wa kesi tangu Feb mwaka huuNakumbuka yale 'mazuzu wa kile chama' yalimzomea sana Komredi Lissu na kumkejeli kwa matusi makubwa!
Sijui kama hata yanakumbuka walichofanya dhidi yake na yanayoendelea kwa sasa!
Kushindana na watu wa 'chama kile' ni kupoteza muda wako kwani hawaoni mbali!
Waombe moderators wafute huu ugoroHabari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.
Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!
Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!
Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Hatujashutakiwa Miga.
Leo hii unamuunga mkono lissu kwenye bandari huku ukipinga ccm wenzako kulipa madeni yaliyosababishwa na mzee wa legacy,hii dunia inaenda kasi sana 😂Lisu ana kipaji cha upotoshaji na kwa bahati nzuri sana au mbaya amepata sehemu nzuri inayomfaa, kuendesha uongo wake Chadema.