Nikweli kila binaadam anamapungufu yake nikweli,lakini kwa samwel sita mapungufu yake hayana madhara makubwa kwa bunge lenyewe la katiba pamoja na watz kwaujumla,kwasababu anao uwezo wa kuwaunganisha wabunge wa bunge hili na sikuzote atawakumbusha wajibu walio nao kwa watz,kwasababu hiyo ndio tabia yake,Utaifa kwanza uchama baadae majukwaani