Lipi lilikufurahisha sana 2014?

KORBOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,848
Reaction score
2,447
Hope this post will find all of you enjoying fresh new year!happy new year to you all!
Si kawaida yangu kuposti, ila mimi nimsoma coment za watu tu, nadhani nitaingia top ten!

Back to the topic
Embu tukumbushane matukio ya 2014 kidogo, vichekesho, post au comment ambayo unaikumbuka na unaiona ilikuwa poa sana either ilikuchekesha, au ilikuwa pumba sana au ilkuwa na ujumbe mzito sana.

Pia waweza kurate wanajukwaa, yupi ulimkubalia sana na kwa lipi?

Mfano:
Mi naikumbuka sana posti moja iliyozungumzia 'kupekenyua', yaani unafanywa hivyo ili hewa iingie
duuuuh hata hapa naandika nacheka


Kazi kwenu
 
Yapo mengi ila ambayo bado mpya mpya kwangu, Ni Deo Corleone alivyomquote kiranga afu mwishoni akaandika NB: jibu kwa kiswahili........ yani sielewi kwa nini nacheka mpaka sasa hivi

Kiranga akareply na kiingereza chake kile, basi deo akamquote tena. This time akaongezea tu "why do u think" afu Mbele akacopy statement yote Kama kiranga alivyoreply. Aisee kila nikiona id ya deo nashindwa kujizuia kucheka
 
Last edited by a moderator:
yani mm ni nyingi sana nakumbuka na ikiwezekana hata threads za humu ziliniacha hoi hivyo nashindwa kulist kwani ni nyingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…