π π π
Hata Ronaldinho mwenyew hajifananishi na messi.
Ronaldinho mwenyew alisema skills nazofanya mm messi anaweza kufanya bila shida yoyote, but swali linakuja kwann messi hafanyi? The answer is simple, messi is a team player and most importantly efficient, hapendi kupoteza muda kupiga skills na kuweka manjonjo mengi wakati body faints zake tu zinamwezesha kuwapita mabeki wengi kwa muda mchache na kutengenezea wengine nafasi ya kufunga kwa wachezaji wenzake.
That's why humuoni akihangaika na skills kama most Brazilians.
Gaucho akiwa spain barcelona kpnd hicho aliwah kumwambia Marehem Kobe Bryant "Njoo nikuoneshe dogo atakaekuwa mchezaji mkubwa hapa duniani" akimaanishe Messi, enzi hizo gaucho anavaa 10 barca na messi ndio kinda kinda.
So Gaucho mwenyewe anajua messi ni habari nyingine. Mie list yangu inaanza na messi, gaucho, cr7 then cr9. Sijawaongelea Pele na Maradonna sabb mpira wa enzi zao ulikua tofauti sana na wa hawa
Kwanini iwe messi effect? Kwani alisajiliwa peke yake? Suarez, Alba, Busquet, Kocha mpya martinez na vijana wengi wapya walisajiliwa kwa mkupuo. Halafu mnaporoja messi effect my foot.