N nanjehedi Member Joined Aug 1, 2014 Posts 35 Reaction score 18 Apr 13, 2016 #1 Wasalaaam,nduguzanguni ninauza line ya tigo pesa kwa 230,000/=TSH na imetumika kwa zaidi ya mwaka sasa.Anaeihitaji basi anaweza aka ni pm,asanteni.
Wasalaaam,nduguzanguni ninauza line ya tigo pesa kwa 230,000/=TSH na imetumika kwa zaidi ya mwaka sasa.Anaeihitaji basi anaweza aka ni pm,asanteni.
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,584 Reaction score 2,056 Apr 13, 2016 #2 Kwa bei iyo,utasubri sana.
d tarimo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2015 Posts 919 Reaction score 517 Apr 13, 2016 #3 mkuu mm nakupa laki na nusu utembe
N nyambogo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 283 Reaction score 111 Apr 13, 2016 #4 nanjehedi said: Wasalaaam,nduguzanguni ninauza line ya tigo pesa kwa 230,000/=TSH na imetumika kwa zaidi ya mwaka sasa.Anaeihitaji basi anaweza aka ni pm,asanteni. Click to expand... Asee mie nauza yangu kwa 200,000/= tu ukipata mtu anaeihitaji chini ya bei yako nambie mkuu ila iwe hiyo 200,000 Tanzanian Shillings asante.
nanjehedi said: Wasalaaam,nduguzanguni ninauza line ya tigo pesa kwa 230,000/=TSH na imetumika kwa zaidi ya mwaka sasa.Anaeihitaji basi anaweza aka ni pm,asanteni. Click to expand... Asee mie nauza yangu kwa 200,000/= tu ukipata mtu anaeihitaji chini ya bei yako nambie mkuu ila iwe hiyo 200,000 Tanzanian Shillings asante.
spade4spade JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,207 Reaction score 2,158 May 10, 2016 #5 nyambogo said: Asee mie nauza yangu kwa 200,000/= tu ukipata mtu anaeihitaji chini ya bei yako nambie mkuu ila iwe hiyo 200,000 Tanzanian Shillings asante. Click to expand... Bado unayo??
nyambogo said: Asee mie nauza yangu kwa 200,000/= tu ukipata mtu anaeihitaji chini ya bei yako nambie mkuu ila iwe hiyo 200,000 Tanzanian Shillings asante. Click to expand... Bado unayo??