Line ya M-Pesa Tsh Laki moja tu

Airtel money pia ukipata mteja zipo mbili bei poa 0686692555
 
nahitaji wenye lain ya airtel money aniuzie,pm mimi kama unayo.
 
Nakodisha line ya M-PESA nipo Ruaha/Kilombero,wasiliana nami 0763160126
 
Nauza laki 9 na ya mpesa naxuza lak 2
 
Ni za kwetu.kama mm nimeamishiwa kikaz tanga
 
Ebu tueleze kidogo kuhusu hii biashara, commission yake ikoje! unaweza pata faida kiasi gani kwa mwezi au unawanufaisha tu mwenye mitandao? hasa Airtel money ambayo hakatwi mtu, commission hapo inatoaka wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…