mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Sep 16, 2012 #2 Liliwekwa wakati mti unapandwa yaani wakati ukiwa mdogo kabisa ili kuzuia watu wasiukanyage.
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Sep 16, 2012 #3 kwa kweli sijui C6
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Sep 17, 2012 #4 uliwekwa toka mti ukiwa mdogo au umepitia juu
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Sep 17, 2012 #5 Limeshonewa
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Sep 17, 2012 #6 Mkuu, mdudu anaingiaje ndani ya Embe?
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Sep 17, 2012 #7 Wakati mti ukiwa mdog C6+
N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,308 Sep 17, 2012 #8 Hiyo ni kazi ya Prof. Maji Marefu. Ukitaka matairi zaidi atakuwekea hapo.
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,453 Reaction score 10,059 Sep 17, 2012 #9 mazingaombwe hayoooooooo
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Sep 17, 2012 #10 limewekwa tangu mti haujavunja ungo bado.
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 537 Sep 17, 2012 #11 Miti mingine inazaa maembe,miti mingine ina zaa matairi.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,283 Reaction score 98,885 Sep 17, 2012 #12 Na hilo swali?
jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 995 Sep 17, 2012 #13 duh, hata mi huwa nashangaa c6! ila ni naona huwa wanaweka wakati mti ukiwa bado mdogo.. C6 said: Click to expand...
duh, hata mi huwa nashangaa c6! ila ni naona huwa wanaweka wakati mti ukiwa bado mdogo.. C6 said: Click to expand...
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Sep 17, 2012 Thread starter #14 King Kong III said: Na hilo swali? Click to expand... basi litakuwa ni jibu, au ni kazi..maana we umezoea swali, kazi, jibu
King Kong III said: Na hilo swali? Click to expand... basi litakuwa ni jibu, au ni kazi..maana we umezoea swali, kazi, jibu
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 17, 2012 #15 I think mti ulidogoshwa likawekwa then ukarejeshwa ukubwa lol
kibhopile JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 1,514 Reaction score 767 Sep 17, 2012 #16 kumbe uchawi upo??
E Elizabeth Dominic Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 4,555 Reaction score 3,660 Sep 17, 2012 #17 Hilo walilikata wakalitia halafu wakalishona.......kwishney!
Las Mas Bobos JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 991 Reaction score 326 Sep 17, 2012 #18 Seems like I know this place. Mkuu waha ni ubungo sehemu gani vile?
Las Mas Bobos JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 991 Reaction score 326 Sep 17, 2012 #19 Ahaaa, Tanesco, uongo?
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Sep 17, 2012 #20 Limewekwa na Adobe Photoshop CS3.