Mkuu. Hao mikia tuwaache kama walivyo. Sijui huu ni mwaka wa ngapi hawashiriki mashindano ya CAF. Raha yao ni kumfunga Yanga kwenye mechi za Bonanza. Huu sasa mwaka wa tatu ni sare au kufungwa na Yanga kwenye VPL. Watakuja na kawimbo kao ka 5-0 as if historia ya timu hizi inaanzia na kuishia hapo. Wako very selective kwenye historia. Yanga ni timu kubwa (bingwa wa kihistoria wa Tanganyika/Tanzania). Wanahitaji labda karne moja kuifikia rekodi ya Yanga ukizingatia kuna akina Azam siku hizi. Kwa maana hiyo mtazamo wetu lazima uwe wa kuangalia the bigger picture kama kuchukua ubingwa. Kwa Alex Furgeson ilikuwa bora afungwe na Liverpool lakini achukue EPL kuliko kumfunga Liverpool wakose ubingwa. Ndio mentality ya timu kubwa.
Ndio maana tunawaita maMbumbumbu.
Acha umbumbumbu wewe, miaka mitatu labda kama unahesabu kambale mnaovua pale jangwani. Yanga alifungwa bao 5 kwa sifuri April 2012, toka hapo yanga ameshinda sana mbele ya mnyama ni sare au kuchapwa bao 3 -1, 2-0 tu. Piga hesabu kama miaka 3 imeshapita toka april mwaka 2012,
Naomba leo niwabatize Yanga jina zuri la kisomi la Division 5 ya Mulugo.
Mkuu, mbona watu timu zao zikifungwa huwaga ndo wanapotea jamvini?
It makes sense kwa uliowataja hapo juu kuomba ban timu yao ikifungwa kwa vile by then watakuwa wamelikimbia jukwaa anyway....so ban wala haitawaumiza bali itawapooza dhidi ya kejeli za wapinzani wao watakaokuwa wanafurahia ushindi humu jamvini!
Mimi nadhani pledge yao iwe kupata ban timu yao ikishinda ili wakasherehekee vizuri huko mtaani!!
Acha umbumbumbu wewe, miaka mitatu labda kama unahesabu kambale mnaovua pale jangwani. Yanga alifungwa bao 5 kwa sifuri April 2012, toka hapo yanga ameshinda sana mbele ya mnyama ni sare au kuchapwa bao 3 -1, 2-0 tu. Piga hesabu kama miaka 3 imeshapita toka april mwaka 2012,
Naomba leo niwabatize Yanga jina zuri la kisomi la Division 5 ya Mulugo.
Nyie mbumbumbu mbona hamtaki kujifunza? Hata hesabu ndogo tu ya kuhesabu misimu nayo inawapa shida. Any way ni jukumu letu kuwaelimisha maana tusipowaelimisha mtazidi kuwa mizigo huku Azam FC na Mbeya City wakiwabutua watakavyo.
Ligi haianzi May bali inamalizia May. Hivyo hizo goli 5 mlipewa msimu wa 2011-2012.
Toka hapo tuna misimu ifuatayo
1. 2012-2013
2. 2013-2014
3. 2014-2015 ambayo ndo tunaenda malizia May.
Ktk misimu hiyo miatatu taja mechi mliyoshinda. Ndiyo maana tunawaita wazee wa historia na kushadadia matukio ya kitambo.
Ni rahisi kumwelewesha mjinga kuliko mbumbumbu kama huyo. Hawezi kuelewa tofauti kati ya msimu/mwaka wa soka na mwaka wa kawaida (calender year).
Aden Rage alieaita hivyo kutokana na umbumbumbu wenu.....
Endeleeni nao tu...
Ipo siku aveva atawaita mambumbumbu.
acheni visingizio .kwani hizo me chi zingize zisizo za ligi mlikua mnaingiza timu c? si ni hii hii ya mababu?Ni rahisi kumwelewesha mjinga kuliko mbumbumbu kama huyo. Hawezi kuelewa tofauti kati ya msimu/mwaka wa soka na mwaka wa kawaida (calender year).
acheni visingizio .kwani hizo me chi zingize zisizo za ligi mlikua mnaingiza timu c? si ni hii hii ya mababu?
Mikia kesho lazima ikatwe pale taifa hilo halina shaka.
Simba 0-3 Yanga.
Mkuu. Hao mikia tuwaache kama walivyo. Sijui huu ni mwaka wa ngapi hawashiriki mashindano ya CAF. Raha yao ni kumfunga Yanga kwenye mechi za Bonanza. Huu sasa mwaka wa tatu ni sare au kufungwa na Yanga kwenye VPL. Watakuja na kawimbo kao ka 5-0 as if historia ya timu hizi inaanzia na kuishia hapo. Wako very selective kwenye historia. Yanga ni timu kubwa (bingwa wa kihistoria wa Tanganyika/Tanzania). Wanahitaji labda karne moja kuifikia rekodi ya Yanga ukizingatia kuna akina Azam siku hizi. Kwa maana hiyo mtazamo wetu lazima uwe wa kuangalia the bigger picture kama kuchukua ubingwa. Kwa Alex Furgeson ilikuwa bora afungwe na Liverpool lakini achukue EPL kuliko kumfunga Liverpool wakose ubingwa. Ndio mentality ya timu kubwa.
Ndiyo kusema Yanga lazima afungwe?
Wahapa hapa....hamna lolote miaka 50 hamna hata viwanja.....nazichukia sana hizi timu za kiswahili..
yahoo hapo nakupa 5 za nguvu.Timu za italy hazina viwanja binafsi,unavichukia? Na kama simba na yanga havina uwanja havichezi mpira? Wew ni shabiki wa mpira au shabiki wa viwanja? Ka shabiki wa viwanja basi shabikia ccm
Ni kitu ambacho hakiwezekaniki kwa simba kumfunga Yanga hiyo kesho, mikia hawana kipa mzuri, beki zao mbovu kuliko beki yoyote ile hapa Tanzania, viungo angalau kidogo wanavyo na kule mbele wanamtegemea lile jambazi la kiuganda liokwi ambapo cannavaro beki bora Africa mashariki atalibana lisifurukute. Beki ipi ya mikia inaweza kushindana na straikers kali za Yanga kama Msuva, Ngassa, Tambwe, Sherman na Continho ?Hizo ni nyimbo za mipasho toka mwaka 2012 tunazisikia na bado tunamtafuna mtu mabao tunayotaka sisi, jipangeni mje na nyimbo mpya.