Kweli?huo mfano hata hauna maana. Huyo Trump wakati anapewa hiyo deal ya kumshauri Tyson tayari alishakuwa bilionea. In fact alikuwa tajiri kuliko Tyson
Trump alivyo tapeli, si ajabu alikomba hela zote ndio maana bondia kafilisikaThis is Mike Iron Tyson the world successfully boxer with his Financial advisor that time but now is the president of USA and Tyson is a normal citizen.
View attachment 1437721
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump alivyo tapeli, si ajabu alikomba hela zote ndio maana bondia kafilisika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na weather, Weather nae atakuwa broke too soon!nitaiweka story ya maisha ya Tyson humu kesho,ni mtu nimemfuatilia sana,kwa kifupi ni hivi Tyson amefulia kutokana na life style,jamaa alinunua ma gari zaidi ya 100 mengine anaacha gereji mengine ananunua jipya leo asubuhi jioni ikifika ameligonga kidogo analipeleka garage anaacha huko na mengine washkaji walikua wanaomba kuendesha alafu anasahau yalipo
Ni sawa na weather, Weather nae atakuwa broke too soon!
nowday jamaa ni mcheza filamukabisa,ila wana enjoy sana maisha hawa viumbe,yani mtu kama tyson kawa billionaire akiwa na miaka 20
huo mfano hata hauna maana. Huyo Trump wakati anapewa hiyo deal ya kumshauri Tyson tayari alishakuwa bilionea. In fact alikuwa tajiri kuliko Tyson