Unapigwa cha nguruwe kwako kwa mbinde, unajua maana yake??Wametufunga moja ila kwa mbindeee
Umeua mkuu!Yanga wanaongoza kundi lao...
View attachment 361417
Weka na ya Zamalek akitolewa na simba ingawa alikuwa bingwa mtetezi na pia weka ile orodha ya waliohenyeshwa mpaka fainali ya CAF.