huyuy mdada wa kisomali kanisononesha kweli kweli,sijui yeye nia yake ni kwenda ulaya au ni kukimbia vita vya Libya, but ngoja wahamie huko europr si wanajifana kupenda mafuta ya africa, ningekuwa gaddafi nawapa mmeli kama titanic nahamisha nchi nzima kwenda europe