Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Laishinda. Ni soka laoLAishinda au YAishinda?
Vitauza sana vichwa hivimagazeti ya kesho,
majira simba yakalia libolo...
Nipashe Libolo moja tu simba hoi...
mwananchi libolo laichana simba...
kasheshe simba ndembendembe kwa libolo...
tz daima chezea libolo weye!
Huyu (bolded) kamtoa Maximo hapa, si wa kuchezea hata kidogo.Tatizo Simba uongozi wanauza striker Okwi wananunua kipa Mganda wakati wanajua hachezi na hatopata namba mbele ya Kaseja.Si bora wangenunua Striker.Rage bure kabisa