Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
Yaani amlali,amli,amnywi bila kuitaja CDM!....kweli Chadema ndiyo inaongoza nchi

Ule unafiki wa CHADEMA kutumia migongo ya Taasisi mbalimbali kujinufaisha kisiasa umebainika l
Unafiki huo umebainika baada ya wakurugenzi wa vituo vya haki za binaadam kukanusha kupanga maandamano ya kesho
Wakiongea na kipindi cha JAHAZI cha Radio Clouds wamekanusha kupanga maandamano hayo na kusema kunawalioyanga kwa faida zao kisiasa ni bora wakawa wazi kuliko kuvihusisha vituo hivyo
My take: kama mmepanga kuandamana si muweke hadharani ya kuwa ni nyie wenyewe kuliko kuwahusisha watu ambao hawajapanga kama mlivyompiga Dk Ulimboka na kujaribu ku hide sasa mmeanza kumwaga
Ndugu yangu katika bwana ni habari iliyokuwa kwenye radio au nimefanya mbaya kuwaletea jamvini ili muweze kuwajua wanaoivuruga hii nchi yetu?
Mkuu Mch Kimaro nani kayasema hayo?[/
Ndugu yangu ktk bwana aliyeyasema hayo ni mmoja wa Wakurugenzi wa hivyo vituo kwa niaba ya wenzake
punguza povu. nyinyi ndo mlouwa chama chetu kwa chuki zenu za kidini
Ule unafiki wa CHADEMA kutumia migongo ya Taasisi mbalimbali kujinufaisha kisiasa umebainika l
Unafiki huo umebainika baada ya wakurugenzi wa vituo vya haki za binaadam kukanusha kupanga maandamano ya kesho
Wakiongea na kipindi cha JAHAZI cha Radio Clouds wamekanusha kupanga maandamano hayo na kusema kunawalioyanga kwa faida zao kisiasa ni bora wakawa wazi kuliko kuvihusisha vituo hivyo
My take: kama mmepanga kuandamana si muweke hadharani ya kuwa ni nyie wenyewe kuliko kuwahusisha watu ambao hawajapanga kama mlivyompiga Dk Ulimboka na kujaribu ku hide sasa mmeanza kumwaga
Na kwenye redio walisema kama ulivyo sema ww kwa kutumia neno unafiki!!
Dahh Mufti Kimarihooo,
Hadi hapo umewapatia kweli CHADEMA kwa unafiki wao wa kutumia taasisi mbalimbali kujinufaisha kama vile:
1. Hutumia Taasisi ya Mahakama - KUNG'OA MAHASIMU KWENYE VITI VYA UBUNGE,
2. Taasisi ya TAKUKURU - Kukamata vidaga na MAFISADI PAPA WAKISEMEKANA HAWAGUSIKI;
3. Taasisi za benki - Kuwapa mikopo wale tu wanaokubaliana nacho.
4. Taasisi ya Bunge - Kama muhuri wa kupitishia madhila.
5. Taasisi ya Jeshi la Polisi - Kupeleka watu kutalii Mabwepande.
.... Banae, umepatia kweli kweli madai yako hayo hapo chini. Hebu kaza nyusi kidogo zaidi mkuu - huenda mambo yakawa murua kwani you never know!!!