LHRC wakana kuandaa maandamano kesho

Ndugu yangu katika bwana ni habari iliyokuwa kwenye radio au nimefanya mbaya kuwaletea jamvini ili muweze kuwajua wanaoivuruga hii nchi yetu?
Tatizo sio habari isipokuwa wewe kuitaja CDM kwani REDIONI waliwataja CDM au walikanusha maandamano.
 
Ndugu katika Bwana kwa kuwa wale tuliokuwa tunajua ndio wameeanda kumbe si hao basi hawa(Chadema) ndio wanafiki kwa maana wameyatangaza sana hayo maandamano ya kesho
Watu wanamna hiyo ndani ya jamii huitwa wanafiki
Huyo bwana ni mani??
Naona unawashwa, kila mtu unamuiya bwana!! bwana!!
 
Tangu migomo ya madaktari imeanza mwanzo wa mwaka ni chama kimoja tu kimekuwa kinaandamana
 
Mkuu vipi, unategemea wangapi tena kwenda kutalii kule kwenye kivutio cha kimataifa cha Mabwepande?

Ndugu yangu katika bwana ni habari iliyokuwa kwenye radio au nimefanya mbaya kuwaletea jamvini ili muweze kuwajua wanaoivuruga hii nchi yetu?
 
Hawa wanaharakati nao, njaa tupu. Mama Nkya alipokwapuliwa pale Muhimbili wakati wa mgomo wa kwanza, kakaa kiimyaaa! bora wamesitisha tu, manake wataonekana ni wajinga sana. Watu wanakufa wao wanashadadia! Ni upuuzi sana!
 
Huyo bwana ni mani??
Naona unawashwa, kila mtu unamuiya bwana!! bwana!!

I say to you that there arr many who will come frm east and west sit down to eat with Abraham and Issack and Jacob in the kingdom of heaven

But the children of kingdom will be thrown outside the darkness. People there will be weeping and grinding their teeth
 
Duh! huyu tena amekuja na gia ya kutumia neno "bwana"ili kuichafua CDM
 
Ubarikiwe sana na bwana atakusamehe kwa kuwa hujui ulitendalo
Napata shida sana kwa matumizi ya maneno haya! lakini sio ajabu kwani hata shetani akizeeka hujifanya malaika mwema. Ebu yasome maneno yako mwenyewe yaliyojaa chuki, uzandiki na unafiki halafu linganisha na matumizi ya maneno hapo kwenye rangi nyekundu! Ama kweli mnatumika kama kondom!
Ule unafiki wa CHADEMA kutumia migongo ya Taasisi mbalimbali kujinufaisha kisiasa umebainika l

Unafiki huo umebainika baada ya wakurugenzi wa vituo vya haki za binaadam kukanusha kupanga maandamano ya kesho

Wakiongea na kipindi cha JAHAZI cha Radio Clouds wamekanusha kupanga maandamano hayo na kusema kunawalioyanga kwa faida zao kisiasa ni bora wakawa wazi kuliko kuvihusisha vituo hivyo

My take: kama mmepanga kuandamana si muweke hadharani ya kuwa ni nyie wenyewe kuliko kuwahusisha watu ambao hawajapanga kama mlivyompiga Dk Ulimboka na kujaribu ku hide sasa mmeanza kumwaga
 
Back
Top Bottom