LCD ni old technology kidogo lakini LED ni modified LCD, LCD inatumia crystal fluid wakati LED diodes, LED inatumia energy kidogo sana 60w na LED simple na more flat on back than LCD afu LED ni more expensive than LCD. wapo wajuzi watafafanua zaidi, AU kwa msaada Google difference btn LCD and LED.