Lexus kali inauzwa

Imetembea KM ngapi, ina cc ngapi, ya mwaka gani? naomba maelezo hayo nikiwa kama mnunuzi mtarajiwa
 
Hivi hii gari inaitwa harrier lexus au ni lexus?wajuzi wa mambo embu nirekebisheni pls
 
Hivi hii gari inaitwa harrier lexus au ni lexus?wajuzi wa mambo embu nirekebisheni pls
Lexus ni yale magari luxury ya toyota kwahiyo unaposema una Harrier Lexus mtu mwenye kujua anaelewa hiyo ni more luxury car au sexy zaidi kuliko Harrier ya kawaida japo zote ni toyota ndiyo maana hata bei zake huwa juu zaidi ya toyota ya aina hiyo hiyo ambayo si Lexus.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…