Bahati mbaya nimeshindwa kuisoma hiyo link ambayo Kitia ameweka 'coz the time nimejaribu kuifungua ikagoma!
Lakini naweza changia machache kutokana na wachangiaji hapo juu (walio ipitia). Binafsi naona we as Africans as a whole, kuna mengi ya kujifunza kutoka sio tuu China alone bali pia East Asia Tiger Economies countries, ambazo pace yake ya maendeleo ni ya kujivunia.
Lakini what we should note is that the times/era ambao hawa wenzetu wali-develop kwa haraka kiasi kile its not similar to our recently times/era, with different global development hampers, different accruing problems, different environment among the rests, to kindle the development pace as such they did can be so trickly!
Tunaweza mawili imitate mawili matatu lakini i dont think that we can be in a good position to catch up as quickly as how this fellas did!
Kuhusu suala la uchafuzi wa mazingira, i personal think that there is no way that you can develop without endangering environment in one way or another, not in China alone tumeona pia nchi kama USA kuwa ndio wachafuzi wakuu wa mazingira as much as they are superpower!
What to be done i think for them to adhere to the international convention on procteting environment as far as Kioto protol is concerned among the other protocols. Sio tu kwa uchina bali pia kwa nchi zote ambazo zi-strive for dlvpt including sisi ku-ensure tuna kuwa na sustainable development!
About human rights abuse, Yes China ni violater mkubwa lakini we should not forget pia USA, UK, etc pia nao ni vinara, when it come to comparison, what differs ni kwamba USA na washirika wake are a big human rights abuser outside there territory!
Sisi kama Tanzania i think lets us take yale mazuri ambayo tunafikiri yanaweza kutusaidia, we shouldn't abandon kila kitu, ambacho wenzetu wamefanya na kujiletea matunda lets us copy!
[Basically my reply have base on Pundit and Kuhani replies, from them i have tried to imagine how the article was all about.]