Hata kama kushuka bei sio 200k kwa laptop ya 5th gen yenye SSD, 8GB RAM na 1080p display. Mimi nauza kwa bei hyo sababu nina shida na hyo hela. T430 tu za 3rd gen zinauzwa 400k+