Wadau habari zenu?
Nauza Tv yangu LED TV Inch 22 aina ya Kodtek ipo kwenye box lake na rimoti yake,nimetumia miezi miwili tu.
Haina shida yeyote,Tv ipo Sakina,Arusha.
Bei:220,000/=(LAKI MBILI NA ELFU ISHIRINI TU)
Mawasiliano:0752489529 au ni PM.
Asanteni wote.