Jamaa anataka kwa style ya nyimbo za lava arukeruke kama wenzieHuyu anaimba nyimbo za chumbani. ili umuelewe inabidi uwe na mood flani hivi au umekumbatia ziggo
Hapana tatiz mxhkaj anataka nyimbo Za kuruka ruka,, bac aende kwakina mzee WA BWAX huko.... WCB kuna creativity among the MusiciansKwa hiyo Lava-lava anapwaya WCB?